Vijana wa Scauti wakiwa wamebeba jeneza lililohifadhi mwili
wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe Marehemu Bi.
Sarah Dumba mara baada ya kuwasili nje ya viwanja vya
kanisa la Kiinjili la Kilutheri Mkoani Njombe.
Mkuu wa Wilaya ya Ileje Rosemary Staki pamoja na Wakuu
wa Wilaya kutoka Wilaya mbalimbali wakiongozana na
vijana wa Scauti waliobeba mashada kuelekea kanisani
tayari kwa ibada.
Wanafamilia wa Marehemu Sarah Dumba wakionesha sura za huzuni na Majonzi baada ya kuondokewa na mpendwa wao.
Viongozi wa dini wakiongozwa na Askofu wa kanisa la Kiinjili
la Kilutheri Mkoa wa Njombe Askofu Isaya Japhet Malenge
wakiombea dua mwili wa marehemu.

No comments:
Post a Comment