HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 18, 2016

SITAKIII....KAZI KUTUSUMBUWA TUUU....

Mwanafunzi huyu Pichani alie shika Kitabu na Madaftali akiwajibu vijana wa Kitaa walio kuwa wakimkejeri kwa kumuitaitaa bila Sababu za Msingi na kuwaambia waache hiyo Tabia ya kuitaita tuu Watu wasio wajuwa na wachape Kazi badala ya kushinda Vilingeni kujuwa Fulani Kavaa hivi, Anafanya Vilee na mengine kadha wa kadhaa yaliyo waacha Midomo wazi Vijana hao Korofi wa Mtaani Kwetu.
Vijana wa Kilinge cha Mtaani kwetu wakimshangaa Binti huyo kwa Maneno Mazito aliyo wapa na kujikuta wakijutia kumuita kwa Kejeri kama awali walivyo Muitaa...
Binti akiendelea na Mambo yake tena kwa kujiamini na kuwa na Amani kabisa akiperuzi baadhi ya Nakala za Kitabu chake kwa ufasahaa zaidi...
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad