HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 27, 2016

SIKUKUU YA PASAKA ILIVYOSHEREHEKEWA LEO KATIKA FUKWE YA KAWE BEACH JIJINI DAR

 Wakazi wa Maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam, hupenda kutembelea maeneo ya fukwe za Bahari ya Hindi ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu mbali mbali, Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog, leo ilibahatika kukatiza kwenye Ufukwe wa Kawe Jijini Dar na kuweza kukuletea taswirazz mbali mbali za namna Sikukuu ya Pasaka ilivyosherehekewa.
 Huku ufukweni hakuna mambo ya kuiana kama zilivyo fukwe zingine, huku mtu anakuja na chombo chake mpaka majini kabisa, anakipaki kisha anaingia majini kupiga mbizi.
Upepo mwanana kabisa unapatikana huku, tena ni ule fresh.
Baba na Mwana wakipata Selfie Ufukweni.
Wengine wanaogelea, wengine wanaangalia yaani ili mradi ni burudani tuuu...
Biashara ya Karanga Ufukweni huwa inachanganya sana, maana huyu jamaa wakati anaingia tolori lilikuwa limejaa, ila sasa mambo mswano.
Kina sie pia tukibariziii ufukweni.
Kuna wanaopigwa picha na kuna wanaokatiza katikati yao bila hata kujali ule umuhimu wa taswira ya watu wala mkanda wa mpiga picha.
Viburudisho vya kutosha.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad