Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Mgufuli leo aweka jiwe la msingi la Ujenzi wa barabara ya Arusha- Hilili/Taveta-voi (km 234.3) kwa upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta katika eneo la Tengeru jijini Arusha.
Muonekano wa Barabara ambayo jiwe la msingi linawekwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Mgufuli pamoja na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta.




No comments:
Post a Comment