Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiyahiyo jijini Arusha Machi 2, 2016.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya hiyo jijini Arusha Machi 2, 2016.
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akijiandaa kuweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha Machi 2, 2016
Rais Paul Kagame wa Rwanda akiweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha Machi 2, 2016.
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akiweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha Machi 2, 2016
Kijana Simon Sahaya Mollel (18) mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Mzumbe ya mjini Morogoro akionesha dola 1500 alizokabidhiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kama zawadi baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa kuandika Inshawakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha Machi 2, 2016.
Wanafunzi walioshinda mashindano ya Insha ya EAC wakipata selfie na viongozi baada ya Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha Machi 2, 2016.PICHA NA IKULU

No comments:
Post a Comment