HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 21, 2016

PPF KANDA YA ZIWA YAWAPIGA MSASA WAAJIRI WA TAASISI MBALI MBALI JIJINI MWANZA

Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Kanda ya Ziwa, Meshack Bandawe akizungumza wakati wa semina ya waajiri wa taasisi mbalimbali jijini Mwanza, ambapo amewataka waajili ambao ni wanachama wa Mfuko huo, kuhakikisha wanawasilisha michango ya wafanyakazi wao kwa wakati.
Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Kanda ya Ziwa, Meshack Bandawe akionyesha mfano wa huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko wa Penseni wa PPF, wakati wa semina hiyo kwa waajiri wa taasisi mbalimbali jijini Mwanza.







Taasisi mbalimbali wakiwa katika semina iliyoandaliwa na PPF.

Baadhi ya wateja wakichangia hoja katika semina hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad