HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 8, 2016

PPF Kanda ya Ziwa yatoa Msaada kwa kambi ya Wazee Bukumbi, Jijini Mwanza

 Mke wa Rais, Mama Janet Magufuli akipokea msaada wa mashine ya kufulia nguo kutoka kwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Kanda ya Ziwa, Meshack Bandawe, ikiwa ni sehemu ya misaada waliyoitoa kwa kambi ya Wazee Wasiojiweza ya Bukumbi, Jijini Mwanza hivi karibuni.
Mke wa Rais, Mama Janet Magufuli akimshukuru Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Kanda ya Ziwa, Meshack Bandawe, kwa msaada wa mashine ya kufulia nguo waliyoitoa kwa kambi ya Wazee Wasiojiweza ya Bukumbi, Jijini Mwanza hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad