Kaimu ofisa Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wadogo wa Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela akizungumza kuhusiana na huduma mbalimbali zitolewazo na benki hiyo kwa wateja katika mkutano mkuu wa nane wa mwaka 2015 wa wanachama wa mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa (LAPF) jijini Arusha, juzi. Pamoja na wasilisho hilo, pia NMB ilizindua akaunti maalumu kwa ajili ya kukopesha wanachama wapya wa mfuko huo fedha kwa ajili ya kuanzia maisha.
Monday, March 14, 2016
Home
Unlabelled
NMB YAZINDUA AKAUNTI RASMI KWA WANACHAMA WAPYA LAPF.
NMB YAZINDUA AKAUNTI RASMI KWA WANACHAMA WAPYA LAPF.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment