HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 24, 2016

NIMEPENDA BUREEE KITI CHA BAJAJI HII MTAANI...

Dereva wa Bajaji huyu Pichani akiwa katika Uskani wake katika Kiti mwanaa aina ya Kigoda, na Kiti cha aina hii tumezoe kuviona Jikoni na kwenye Nyumba Mbalimbali huku Changanyikeni kwetu, lakini Binafsi nilistaajabu sana kukiona kwenye Chombo hii Pichani,
Dereva wa Bajaji katika obora wakeeeee!!
Bajaji hiyo ikipepea kwa kutimuwa Vumbi huku Mkao wa kujidai ukichukuwa nafasi yakee...

 #Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad