HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 7, 2016

Kongamano la Wanawake lafana sana Serena Hoteli, Jijini Dar leo

Keki-ikikatwa-na-Emelda-Mwamanga-kutoka-Vital-Voices-Global-Partnership-kwa-kushirikiana-na-Shamim-Khan-kulia-na-Edna-Mdoe-wakisoma-hutuba-kutoka-Tazania-women-Interfaith-Network. 
Keki ikikatwa na Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership kwa kushirikiana na Shamim Khan kulia na Edna Mdoe kutoka Tazania women Interfaith Network.Shamim Khan (kulia) na Edna Mdoe wakisoma hutuba kutoka-Tazania women Interfaith Network Shamim Khan (kulia) na Edna Mdoe wakisoma hotuba kutoka Tazania women Interfaith Network.
Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8 Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8.Mmoja wa watoa mada akitoa mada Mmoja wa watoa mada akitoa mada.Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8 Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8.Wadau mbalimbali Wadau mbalimbali.Watoa mada  wakipata picha Watoa mada wakipata picha.
Meneja Masoko kutoka Jubilee Insurance, Francisca Mushi akizungumza Meneja Masoko kutoka Jubilee Insurance, Francisca Mushi akizungumza.Baadhi ya watoa mada wakibadilishana mawazo Baadhi ya watoa mada wakibadilishana mawazo.Baadhi ya wanawake waliohudhuria katika Kongamano hilo Baadhi ya wanawake waliohudhuria katika Kongamano hilo.Tauas Likokola akifuatilia mada Taus Likokola akifuatilia Mada.Modesta Mbughuni Mwenyekiti wa Malengo Women akitoa mada katika Kongamano hilo Modesta Mbughuni Mwenyekiti wa Malengo Women akitoa mada katika Kongamano hilo.Wadau wa kongamano wakifuatilia mada Wadau wa kongamano wakifuatilia mada.Wadau mbalimbali waliohudhuria katika Kongamano wakipata picha ya pamoja Wadau mbalimbali waliohudhuria katika Kongamano wakipata picha ya pamoja.mtoa mada-Gloria Shechambo katika kongamano lililofanyika Serena Dar es salaam mtoa mada-Gloria Shechambo katika kongamano lililofanyika Serena Hotel Dar es salaam.Belinda MlingoKatibu NGO ya TASOI 
Belinda Mlingo Katibu wa NGO ya TASOIDr Chris Mauki Kutoka chuo Kikuu cha Dar essalaam Dr Chris Mauki Kutoka chuo Kikuu cha Dar essalaamEmelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership  
Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership.washiriki washiriki.Bidhaa mbalimbali Bidhaa mbalimbali.Bidhaa mbalimbali za vipodozi Bidhaa mbalimbali za vipodozi.Bidhaa mbalimbali Bidhaa mbalimbali.Burudani mbalimbali Burudani mbalimbali.Bidhaa mbalimbali Bidhaa mbalimbali.wakisalimiana wakisalimiana.Baadhi ya wanawake waliohudhuria katika Kongamano wakifurahia jambo Baadhi ya wanawake waliohudhuria katika Kongamano wakifurahia jambo.Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8 Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8.Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8 Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8.IMG_0075 upande wa Kushoto ni Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership na upande wa kulia Belinda Mlingo Katibu NGO ya TASOI  
upande wa Kushoto ni Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership na upande wa kulia Belinda Mlingo Katibu NGO ya TASOI

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad