Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Sheria za Uratibu wa Kuandaa na Kuchapishwa kwa sheria ndogo ndogo za Bunge Mhe. William Ngeleja (katikati) akiwa katika ziara yake katika Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Machi, 15, 2016.
Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Sheria za Uratibu wa Kuandaa na Kuchapishwa kwa sheria ndogo ndogo za Bunge Mhe. William Ngeleja (kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo (hawapo pichani) wakati wa ziara yake katika Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Machi, 15, 2016 wa kwanza kulia ni Mpigachapa Mkuu wa Serikali Bw.Cassian Chibogoyo.
Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Sheria za Uratibu wa Kuandaa na Kuchapishwa kwa sheria ndogo ndogo za Bunge Mhe. William Ngeleja akielezea umuhimu wa kuhifadhi nyaraka za serikali wakati wa ziara yake katika Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Machi 15, 2016 wa kwanza kulia ni Mpigachapa Mkuu wa Serikali Bw. Cassian Chibogoyo.
Mjumbe wa Kamati ndogo ya Sheria za Uratibu wa Kuandaa na Kuchapishwa kwa sheria ndogo ndogo za bunge Mhe. Halima Mdee (mb) akichangia hoja wakati wa kikao cha kamati hiyo katika Ukumbi wa Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Machi 15, 2016.

No comments:
Post a Comment