HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 4, 2016

HUKU KWETU, KAMA SI MTAALAMU WA KURUKA VIUNZI HUFIKI

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa, imeinasa Taswira hii ya Baba na Mwana wakitafuta mbinu za kuvushana kwenye kidimbwi kilichopo Mtaa wa nanihii kama unaelekea nanihii kule.
Baba akajiongeza na kuamua moja kimtindo huu. Huku kwetu kama huna utaalam wa kuruka viunzi, basi huwezi kutembelea kabisa huku. maana ni mwendo wa kuruka tu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad