HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 30, 2016

HALI ILIVYOKUWA LEO ASUBUHI.

 Shukrani kwao Strabag wagenzi wa barabara ya mwendo kasi kwamaana wamejikinga mvua.
 Pikipiki (a.k.a Bodaboda) zikinyeshewa na mvua wakati wamiliki wakiwa wamejikinga na mvua hiyo kwenye kituo cha mabasi yaendayo kasi eneo la Mazese jijini Dar es Salaam.
Mwendo wa mvua tuu. 
Ilikuwa mida ya Saa mbili na dakika 48 mvua ilipiga sana wakati mpiga picha wetu akiwa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa alipopita eneo hilo leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Avila Kakingo, Mtaa kwa Mtaa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad