Mkurugenzi wa Fedha wa duka la nguo la Woolworths Tanzania, Samson Katemi ( Kulia) akishuhudia mfanyakazi wa kampuni hiyo Mary Stanford (kushoto) akimuonyesha mzigo mpya Ashura Waijaa ( katikati) ambaye ni mmoja kati ya washindi wawili wa droo ya mwezi Februari 2016 iliyoendeshwa na duka hilo. Ili mteja aweze kushiriki katika droo hiyo anahitajika kuwa na kadi maalumu ya kumwezasha kununua bidhaa katika maduka ya Woolworths (Wreward Loyalty Card) Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Fedha wa maduka ya nguo ya Woolwoorths Tanzania, Samson Katemi ( Kulia) akimkabidhi vocha zenye thamani ya shilingi Laki Tano mmoja kati ya washindi wawili wa droo ya mwezi wa Februari 2016,Ashura Waijaa ( kushoto), baada ya kuibuka mshindi wa droo hiyo iliyoendeshwa na kampuni hiyo. Ili mteja aweze kushiriki katika droo hiyo anahitajika kuwa na kadi maalumu ya kumwezasha kununua bidhaa katika maduka ya Woolworths (Wreward Loyalty Card) . Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mfanyakazi wa Duka la Woolworths Mary Stanford akimjaribisha viatu mmoja kati ya washindi wawili wa droo ya mwezi wa Februari 2016 Ashura Waijaa, baada ya kujishindia vocha yenye thamani ya shilingi Laki Tano ambayo itamwezesha kununua bidhaa katika maduka ya Woolworths. Ili mteja aweze kushiriki katika droo hiyo anahitajika kuwa na kadi maalumu ya kumwezasha kununua bidhaa katika maduka ya Woolworths (Wreward Loyalts Card) Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mmoja kati ya washindi wawili wa droo ya mwezi Februari 2016 inayoendeshwa na duka la nguo la Wooworths , ambaye ni mkazi wa jijini Arusha Moris Nyangabo, akikabidhiwa vocha yenye thamani ya shilingi laki tano ambayo itamwezesha kununua bidhaa katika maduka ya Woolworths na Meneja Masoko wa duka hili Edwina Barongo. Ili mteja aweze kushiriki katika droo hiyo anahitajika kuwa na kadi maalumu ya kumwezasha kununua bidhaa katika maduka ya Woolworths (Wreward Loyalty Card) Hafla hiyo ilifanyika jijini.




No comments:
Post a Comment