Mkuu wa kitengo cha masoko Bw Aloyce Ntukamazina akitoa mada juu ya faida na umuhimu wa kujiwekea akiba kupitia Mfuko wa GEPF, wakati wa semina ya siku moja kwa wafanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania, iliyofanyika hivi karibuni Jijini Dar es salaam.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakikabidhiwa fomu maalum za kujiunga na Mfuko wa GEPF.
Mkuu wa kitengo cha masoko Bw Aloyce Ntukamazina akijibu baadhi ya maswali kutoka kwa wafanyakazi wa Benki kuu juu ya mipango ya Mfuko wa GEPF katika kusogeza huduma karibu kwa watanzania wote waliojiajiri na walioajiriwa kupitia mpango wa hiari (VSRS).
No comments:
Post a Comment