Mafundi wakiendelea na ujenzi wa barabara ya Bagamoyo kipande cha kilometa 4.3 cha Mwenge – Morocco, leo jijini Dar es Salaam, ambayo ni kutekeleza agizo la Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Scavertor kikichota undongo na kupakia katika magari kwenye barabara ya Mwenge hadi Morocco kwa kuongeza njia mbili za lami leo jijini Dar es Salaam.
Fundi akitoa maelekezo kwa mwendasha Scavertor katika barabara ya Mwenge hadi Morocco kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami leo jijini Dar es Salaam ikiwa ni matumizi ya Fedha za Uhuru zilizoagizwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kutengeneza Barabara hiyo.
(Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii).
No comments:
Post a Comment