HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 31, 2016

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu Mkapa.

 
Picha mbalimbali zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mheshimiwa Benjamin Wiliam Mkapa. Rais Dkt. Magufuli alikwenda kumsalimia Rais mstaafu Mkapa nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Picha na IKULU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad