HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 10, 2016

RAHA YA KUSOMA GAAZETI HASA KWA KUPITIA VICHWA VYA HABARI TUU.....

Mdau Pichani mwenye Upenzi Mnono wa kusoma Gaazeti Mtaani kwetu huwa anajitahidi sana kununua Gaazeti lakini usomaji wake yeye ni wa Vichwa vya Habari na Picha tu..!!
Mdau akilibatasaulia Gazeti...
Akiwa amealiza kusoa Vichwa vya Habari na kuamia upande wa Pili wa G
Gaazeti lake..
#Kamerayamtaakwamtaablog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad