Katiza katiza ya Mtaa kwa Mtaa ilikumbuna na Taswira hizi za Mdau katika Picha akiwa amepozi mara baada ya kutolewa Vyombo vyake Njee na mwenye Nyumba wake hayupo Pichani chanzo hakijafahamika...
Mdau akitafakari ni wapi atapeleka Vyombo vyake kwani vyote vimetolewa Njee hapo..
Vyombo vingine vikiwa Chini Nje ya Nyumba aliyo kuwa amepanga....
#Kamerayamtaakwamtaablog.
No comments:
Post a Comment