HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 10, 2016

MUISHIE HUKO HUKOO....

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilipo kuwa ikiangazia Mitaa  mbalimbali iliokumbana na Taswira hii ya Dimbwi kubwa la Maji lililo chomoza eneo la Block "T" Jijini Mbeya likiwa limewekwa Mawe kwa Ishara ya kuzibvwa kwa Njia hiyo kutokana na Shimo kubwa katika ya Dimbwi hilo ambalo inasadikika ni la Muda Mrefu na bado mpaka sasa halijafanyiwa Ufumbuzi..




 #Kamerayamtaakwamtaablog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad