HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 9, 2016

MTOTO WA DADA MBONA ATAKOMA NA SISI LEO.....

Mtoto wa Dada Mgongoni kwa Binti wetu wa Kitaa akiwa sambamba na Mwanamichezo mahiri Mtaani kwetu hayupo Pichani wakicheza Mchezo wa Gololi katika moja ya Chochoro huku Mtaani kwetu....
Mtoto wa Dada Mgongoni akifuata ishara za Mgongo wa Binti yetu wa Mtaani kwetu.
Hapo sasa kutoka Kulia ni Mwanamichezo Mahiri na Bingwa wa Mchezo wa Gololi akiwa na Binti yetu wa Mtaani kwetu Sanjari na Mtoto wa Dada wakiwa katika Mchezo...
Shabahaaaa...
Mtoto wa Dada hapo alikuwa Refalii kwa muda..
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad