HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 10, 2016

MPISHI WA MIFUGO AKIANDAA CHAKULA CHA MIFUGO JIKONI...

Muhudumu wa Chakula cha Mifugo akiwa Jikoni kuandaa Chakula cha Mifugo ili mambo yaweze kwenda sawa kwa Mifugo iliyo muagiza kuja katika Eneo hilo kwa siku hii ya leo...
Kama ilivyo ada Jikoni siku zote huwa kuna mambo mengi sana kama ambavyo Jiko hili lilivyo... Kwa mbali "Kushoto" Mtu akitia Mafuta kwenye Chakula hicho huku mwengine "Kulia" akiendelea kukologa Chakula hicho cha Mifugo...


 #Kamerayamtaakwamtaablog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad