HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 3, 2016

JICHO KUFUMBA KATIKA UFINYAJI WA MPUNGAA...

Ni katika Mnusa ulio jitokeza kwa Dharula Mtaani kwetu na Vijana wa Mtaani kwetu bila kuchelewa katika Eneo la tukio na kupiga Staili ya Jicho kufumba katika ufinyaji wa Mpunga na Rahaa kubwa zaidi katika Staili hii ya Jicho kufumba ni uhalisia wa kuvuta hisia katika Viwango vya Matongezz.
Hata ushikaji wa Mduara wa mpunga ukitumia Jicho kufumba basi kuweweseka Weweseka kunapotea kwa kuhisi labda mpunga ni Ugali, Viazi au Mihogo kunakuwa hakupoo...
Anae jua utamu zaidi wa Mpunga hapo ni Dogo toka Shoto maana yupo Gado kabisa na Jicho kufumba katika ubinafsishaji wa Kitongoji hicho katika Mduara wa Mpungazz.
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad