Gari hii aina ya Hama ya Kibongo ilinaswa na Kamera yetu ikiwa imeatamia katika moja ya Barabara pendwa Mtaani kwetu.....
Watu wakiishangaa Hama hiyo ya Kibongo jinsi ilivyo buniwa na Wabunifu....
DerevaFundi akicheki Mambo katika ukarabati wa Mchuma huo kutokana na hali yake ya kawaida ya kuzima zima Ovyooo.....
#Kamerayamtaakwamtaablog.
No comments:
Post a Comment