HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 6, 2016

BOSI CHAPOMBE LEO KANASWA NA KAMERA YA MTAA KWA MTAA AKIWA HOI KANDO KANDO YA BARABARA KUU MWANJELWA KABWE JIJINI MBEYA......

Ndugu Mdau Pichani hapo juu maarufu kwa kupiga Mizinga mikubwa mikubwa ya Konyagi,... Leo kabambwa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Mchana kweupee Eneo la Mwanjelwa kando kando mwa Barabara kuu akiwa hoi kutokana na Chupa kadhaa za Konyagi kushindwa kuzihimili na kupelekea hali ya kupiga mweleka kila baada ya Hatua Mbili asongapo kwenda Mbele..
Bosi mapombe bado aliendelea kuonyesha Uhodari wake wa  kushusha Mizinga licha ya hali tete aliyo nayo hapo...

Akijitathimini juu ya kuinuka katika Eneo hilo huku akivuta Pumzii....

Hapo akiwa na Chupa yake akiendelea kutathmini Mawili, Matatu..

           Alipiga Mweleka pindi alipo kuwa akijiribu kujiinua katika Eneo hilo...
 #Kamerayamtaakwamtaablog.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad