Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mwigulu Lameck Nchemba atoa saa 48 kwa kampuni ya Sparkway ltd kuwalipa wakulima wa korosho wa Mkoa wa pwani, kiasi cha Bilioni 3.4 za mauzo ya korosho kufuatia agizo hilo,Wakulima waliouza Korosho wataanza kulipwa jumatatu ya Desemba 21, mwaka huu.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mwigulu Lameck Nchemba wakati akizungumza mkoani Pwani leo.
No comments:
Post a Comment