Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog mapema leo ilipata kuzinasua baadhi ya Taswira katika Barabara ya Kilometa 50 za Mbuga ya Katavi Mkoani Katavi Wilayani Mpanda na kujionea jinsi ambavyo Magari ya Abilia, Malori na vyombo vinginevyo vya Usafili vitumiavyo Njia hiyo Viki kwama na Kuseleleka kutokana na Tope lililojitengeneza katika barabara hiyo..
Baadhi ya Watu walio kuwepo kwenye Gari hiyo pichani wakitembea kwa Miguu kuepusha namna kutokana na Gari hiyo waliyokuwa wamepanda kuzidiwa na Topee la Barabara hiyo..
Baadhi ya Abilia wakiwa Nje ya Magari yao kusubiri namna kutoka kwa Madereva katika kunusulu Magari hayo kupita kwa Usalama.
No comments:
Post a Comment