HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 8, 2015

SIKU YA FAMILIA YA GAPCO TANZANIA YAFANA SANA

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya GAPCO Tanzania, Vijay Nair (wa tatu kushoto) akikabidhi kikombe cha ushindi wa kuvuta kamba kwa timu ya kitengo cha uendeshaji baada ya kuibuka kidedea katika mashindano ya kuvuta kamba katika hafla ya Gapco Family Day, liliyofanyika mwishoni kwa wiki, Escape One, Jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi GAPCO pamoja na familia zao wakishiriki kucheza Zumba Dance kwenye siku ya familia ya GAPCO, iliyofanyika mwishoni kwa wiki, Escape One, Jijini Dar es salaam. 
Mtendaji Mkuu wa GAPCO Tanzania, Vijay Nair akikabidhi zawadi kwa moja wa washindi wa mashindano ya maswali kuhusu kampuni na bidhaa za GAPCO.
Mtendaji Mkuu wa GAPCO Tanzania, Vijay Nair akikabidhi zawadi kwa moja wa washindi wa mashindano ya michezo ya watoto.
Moja ya michezo iliyovutia siku hiyo, ilikuwa ni mpira wa miguu wa mchangani.
Wanakamati wa maandalizi ya siku ya familia ya GAPCO wakifurahia kuona mafanikio ya shughuli hiyo.

Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya GAPCO, Eva Marealle akifatilia hafla hiyo.
Watoto wakifurahia michezo katika siku ya familia ya GAPCO.
Mtendaji Mkuu wa GAPCO Tanzania, Vijay Nair akishiriki kwenye burudani na baadi ya familia za Wafanyakazi wa GAPCO.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad