Meneja wa Kampuni ya Resolution Insurance Tanzania, Oscar Osir
akizungumza na wateja wa Kampuni hiyo kutoka katika makampuni mbalimbali
wakati wa warsha ya siku moja ya “Resolution Insurance First Wellness Summit “ iliyofanyika jana katika Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Resution walifanikisha warsha ya siku moja ya “Resolution Insurance First Wellness Summit “ iliyofanyika jana katika Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment