HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 10, 2015

NSSF YAADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU KWA KUFANYA USAFI SHULE YA MSINGI TANDALE

Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadi ya Jamii (NSSF) wakishiriki kufanya usafi katika Shule ya Msingi Tangale Magharibi kwa kuondoa Maji Taka ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mika 54 ya Uhuru wa Tanganyika.
Wafanyakazi wa NSSF wkiadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanganyika wakifanya usafi wa mazingira katika Shule ya Msingi Tandale Magharibi, Jijini Dar es Salaam leo.

Maofisa wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya usafi katika Shule ya Msingi Tandale Magharibi leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad