Mdau Mtaani akiwa na Kokoteni na Mzigo wake wa Sofa akienda nalo Nyumbani kwake huku akiwa amepinga juu ya Malipo kwa Kuli kubeba Mzigo huo na kujitosa mwenyewe kusongesha Mzigo huo mpaka Mahali husika.....
Akiokota kipande cha Godolo kilicho polopmoka Chini....
Akipachika Kipande cha Godolo kwenye Kokoteni...
Safari ya kupeleka Mzigo huo na kuufikisha Mahari husika ukindelea hapo ni Mwendo Mdundo...
#Kamerayamtaakwamtaablog.
No comments:
Post a Comment