HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 14, 2015

MFUKO WA GEPF KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA VICOBA WA UYACODE KATIKA KUTOA KINGA YA HIFADHI YA JAMII KWA WANACHAMA WA VICOBA

Mratibu wa Uyacode Bw Aldo Lusinde akimkaribisha mgeni rasmi wa uzinduzi wa Kana vicoba Group Bw Aloyce Ntukamazina kwa kumueleza machache kabla ya uzinduzi rasmi, aliye katikati ni meneja wa GEPF mkoa wa kinondoni Bw Mohammed Nyallo
Wakinamama wa kikundi cha Kana Vicoba Group wakicheza kwa furaha nyimbo maalum ya uzinduzi
Mratibu wa Umoja wa Vikoba wa Uyacode Bw Aldo Lusinde akelezea mafanikio na matarajio ya Umoja wa Uyacode wenye jumla ya wanachama 27,000 na ofisi katika mikoa 18 ya Tanzania Bara na mmoja wa Zanzibar
Mkuu wa Kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akisoma hotuba ya ufunguzi na kuwaelezea faida ya Vikoba kujiunga na Mfuko wa GEPF na kujiwekea akiba ya uzeeni.
Meza Kuu wakigonganisha glass zao zenye champagne maalum kama ishara ya uzinduzi rasmi wa kikundi cka Kana Vicoba Group
Kina mama wa kikundi cha Kana Vikoba Group wakitayarisha Jogoo aliyeuzwa katika nada maalum wa kutunisha mtaji wa kikundi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad