Mbeya city yatoka sale na Mgambo Jkt kwa mabao ya gori moja kwa moja ambapo
Gori la Timu ya Mbeya City Fc lilifungwa na Abdalla Juma Dakika ya 30 huku
Fully Zullu Maganga kusawazisha kuipatia Gori Timu ya Mgambo Jkt Dakika ya 71 katika Mtanange ulio chezwa Leo katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya
Ikiwa ni muendelezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Kikosi cha Timu ya Mgambo Jkt katika Picha ya Pamoja Kabla ya mechi kuanza.
Kikosi cha Timu ya Mbeya City Wakoma Kumwanya.
Mashabiki wa Timu ya Mbeya City wakishangilia Timu yao.
Kocha Mpya wa Timu ya Mbeya City fc Abdul Mwingange akizungumza jambo na baadhi ya Waandishi wa
Habari baada ya Mtanange huo kumalizika.
PICHA NA MR.PENGO MBEYA.
No comments:
Post a Comment