HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 22, 2015

MAPUMZIKO KONDO KANDO YA BARABARA MADAGO WAKIWA WAMEULAZA...

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa kwa jinsi ilivyo Jaaliwa Kunasa na Kunasua Taswira Mbalimbali kutoka Mtaani kuajili ya kukujuza juu ya mambo Mbalimbali yanayo jiri Mitaani ilifanikiwa pia Kunasa Taswira hizi za Madogo wa Kitaa wakiwa wamekula Unono kwa kuuchapa Usingizi Mwanana kabisa Kando Kando ya Barabara kama waonekanavyo hapo katika Taswira.
Wakijigeuza Geuza Ubavu Hapoo...
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad