HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 19, 2015

MAMA EKOTITEE AKITWANGA FOTOOO....

Mama Ekotitee maharufu kwa kutwanga Fotoo Mtaani kwetu akiwa katika ubora wake mzigoni akinasua Taswirazz za Matukio mbalimbali kama alivyo Naswa hapo na Kamera yetu ya Mtaa kwa Mtaa Blog.
Mama Ekotitee akiendelea kutwanga Fotoo huku Dogo Kulia aki ibiaibia ujuzi wa Mama Ekotitee....
Twangaaaaaa.....Fotoooooo.
Hapo Kijana akipimana uwezo na Mama Ekotitee..
Mama Ekotiteee akikagua Taswirazz....
Mama Ekotitee akiwa amepozi mara baada ya kuhakiki kazi yakee...
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad