HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 2, 2015

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA TASWIRA MBALI MBALI JIJINI DAR LEO

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yawanasa watalaamu wa kuzibua yaliyotuwama baada ya chemba kuziba mkondo wa majitaka katika eneo la soko la Buguruni jijini Dar es Salaam.
Mafundi wakiendela na uwekaji wa alama za Barabarani katika Barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya uchafu katika soko la Buguruni jijini Dar es Salaam hali ambayo inaweza kusababisha mlipuko wa magonjwa yatokanayo na uchafu huo.
Wanafunzi wakivuka barabara kutokea kwenye daraja la mbao hali ambayo ni hatari kwa usalama wao kama walivyonaswa na kamera yetu ya mtaa kwa mtaa katika Barabara ya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad