HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 30, 2015

JK,WAZIRI LWENGE WAKAGUA MITAMBO YA MAJI WAMI,CHALINZE

Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete (katikati), akizungumza na Waziri wa Maji, Gerson Lwenge wakati wakielekea kukagua mitambo ya kusafisha na kusafirisha maji Wami, katika Halmashauri ya Mji wa Chalinze, mkoani Pwani leo.
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete na Mh. Lwenge wakiangalia mitambo ya kusafisha maji.
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete , akizungumza na Waziri wa Maji, Gerson Lwenge (kushoto kwake) wakielekea kukagua mitambo ya kusafisha na kusafirisha maji Wami, katika Halmashauri ya Mji wa Chalinze, mkoani Pwani leo.Wa pili kulia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete.
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akionesha kitu walipotembelea mitambo ya maji Wami


Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge katika mitambo hiyo.
Wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad