Basi la Kampuni ya Hai express lenye namba za usaliji T 437 CYC limegongwa kwa nyuma na gari dogo aina ya Toyota Avensus, eneo la kipengele nje kidogo ya mji wa Iringa eneo la mizani mchana wa leo wakati Basi hilo likiingia kwenye mizaji hiyo. Dereva wa gari dogo alikimbia na kulitelekeza gari barabarani na hakuna aliyepoteza maisha kwenye ajali hiyo.
Baadhi ya mashuda wakiangalia ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment