HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 20, 2015

FAMILIA YA ENGEN TANZANIA YAKUTANA KATIKA UFUKWE WA BAHARI BEACH JIJINI DAR

Wafanyakazi wa Kampuni ya Engen Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya kusherehekea siku ya Familia, iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ufukwe wa Bahari beach jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliadhimishwa kwa wafanyakazi hao kushiriki michezo mbali mbali.
Mkurugeanzi Mtendaji wa Kampuni ya Engen Tanzania, Paul Muhato akizungumuza na wafanyakazi wa Engen (hawapo pichani) wakati akiwashukuru kwa juhudi zao za kujitoa mpaka kumaliza mwaka 2015, wakati wa hafla ya kusherehekea siku ya Familia, iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ufukwe wa Bahari beach jijini Dar es Salaam.
Mkurugeanzi Mtendaji wa Kampuni ya Engen Tanzania, Paul Muhato (wapili kusho), akishiriki kwenye mchezo wa kuvuta kamba sambamba na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa hafla ya kusherehekea siku ya Familia, iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ufukwe wa Bahari beach jijini Dar es Salaam.
wafanyakazi wa Kampuni ya Engen Tanzania wakicheza mpira wa miguu wakati wa hafla ya kusherehekea siku ya Familia, iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ufukwe wa Bahari beach jijini Dar es Salaam.
wafanyakazi wa Kampuni ya Engen Tanzania wakionesha umahiri wao wakimbia na magunia wakati wa hafla ya kusherehekea siku ya Familia, iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ufukwe wa Bahari beach jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad