SIMU.TV: Mh.Majaliwa asema hakutegemea, aahidi kutumikia wote bila ubaguzi. Dk.Tulia achaguliwa kuwa Naibu Spika Bunge la 11;
SIMU.TV: Wazimia baada ya nyumba 25 kuvunjwa Dar, watoto watatu wauwawa kikatili. Wazanzibari waandamana London; https://youtu.be/2OWnUdzu-rI
SIMU.TV: Vyama vya siasa vyatakiwa kuvunja vikundi vya ulinzi. Profesa Lipumba amsifu Rais Magufuli kwa uteuzi wa Waziri Mkuu; https://youtu.be/Me8XZ1KxDy0
SIMU.TV: Mkwasa abeba lawama zigo la 7-0. MCameroon atua rasmi Simba, safari ya Miss Tanzania , China yaiva. Pata habari motomoto zilizotawala katika magazeti ya leo; https://youtu.be/1wBDkbbtnak
No comments:
Post a Comment