HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 6, 2015

NDUGU WAZICHAPA MCHANA KWEUPEE....

Kamera ya mtaa kwa mtaa bila kuchelewa mapema leo ilikumbana na seke seke la Ndugu wawili Majina yao kapuni ambao inasemekana ni Mtu na Mdogo wake hao katika Taswira hapo juu wakiwa chini katika Ndondi za Kirafiki Mtaa wa Ilemi Jijini Mbeya kwa chanzo cha kuazimana nguo na kutorudishiana kwa wakati....
Hapo kaka Mtu mwenye Tisheti jeusi akiwa chini huku akiwa amekunjwa na mdogo wake mara baada ya Pumzi yake kuwa ni haba...
Konde likiandaliwa kuelekea kwenye Paji la Uso...
Refalii wa kujitolea akihesabu Pointi za mdogo mtu kwa kaka yakee...
Hapo ni kimbembe kweli kweli kwani mdogo mtu alionekana kuwa na nguvu zaidi kuliko kakayakeeee.....
Sekeseke likiendeleaa....
Hapo sasa kila mtu yupo hoi katika Pozi lake kuvuta pumzii kidogo ili walianzishee tenaa.....
Wakina Mama nanihii nao kama kawaida Eneo la tukio...
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad