Katika maeneo mengi ya Jiji la Dar, leo ilipatikana neema ya mvua ya kutosha tu kama ionekanavyo pichani kupitia Kameta ya Mtaa kwa Mtaa Blog.
Ubaya wa mvua za namna hii ni pale inapokukuta ukiwa njiani na huna hili wala lile, maana ulipotoka nyumbani hakukuwa na hali yoyote ya kuonyesha kama kutanyesha.
Biashara imesimama kwa muda mpaka mvua ikatike.
No comments:
Post a Comment