Hatimaye Job Yustino Ndugai CCM amechaguliwa kuwa Spika wa bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuchaguliwa kwa kura 254 sawa na
asilimia 70% ya kura zilizopigwa akifuatiwa na mgombea wa CHADEMA
Goodluck Ole Medeye ambaye amepata kura 109.
Hata hivyo wagombea
hao ambao walikuwa 7 kati ya 8 wameweza kutoa shukrani na pongezi kwa
Ndugai wakisema anastahili na ndio maana akachaguliwa na kumtaka aongoze
vyema bunge hilo.


No comments:
Post a Comment