HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 7, 2015

KIBAJAJI MTARONI, MARA BAADA YA DEREVA KUZIDIWA MAARIFA....

Kamera yetu ilikutana na Kibajaji hicho Shoto katika Taswira kikiwa katika Mtaro mara baada ya Dereva kuzidiwa maarifa katika ukunjaji wa Kona Eneo la Teku Block "T' Jijini Mbeya na kupelekea kupiga kizinga moja kwa moja Mtaroni. 
Jitihada za kukitoa kibajaji hicho katika Mtaro zikiendelea..
Bado Kibajaji hicho Shoto kikiwa katika Mtaro..
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad