Katibu Mtendaji wa Tume ya Sayansi, Ufundi na Utafiti wa Umoja wa Afrika Dkt. Ahmed Hamdy akimsikiliza kwa makini mwanafunzi Abubakar Masandiko wakati anaelezea ubunifu huo wa kuwasha na kuzima taa kwa kutumia remote katika maonesho hayo.
Naibu Waziri wa Elimu wa nchini Somalia, Bw. Hamud Ally Hassan akimpongeza mwanafunzi Abubakar Masandiko kwa ubunifu wake uliotokana na elimu ya tehama anayoendelea kuipata katika chuo cha VETA Kipawa.
Mwanafunzi wa chuo cha VETA Kipawa Bw. Abubakar Masandiko akimuonesha Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Bi Suma Mwakyusa, ubunifu wa kuwasha na kuzima taa kwa kutumia remote wakati afisa huyo alipotembelea banda la VETA katika maonesho hayo.
No comments:
Post a Comment