Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni
Oktoba 21, 2015.
Chama Cha soka Jijini Mwanza Kwa kushirikiana na wanamichezo wamefanya mazoezi maalumu kwaa lengo la kutoa elimu Juu Ya Amani Na Upigaji Kura. https://youtu.be/Pb-8yIRPV1w
Upungufu Mkubwa wa Damu Katika benki ya Hospitali ya Taifa Muhimbili wachangia mrundikano wa wagonjwa hasa wa upasuaji. https://youtu.be/zhI0gAASoSo
Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi toka Jumuiya Ya Afrika Mashariki EAC imezinduliwa jijini Dar na kuahidi kufanya kazi kwa kufuata misingi ya Sheria za nchi. https://youtu.be/mJv-qJF7p_0
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wameendelea na uhakiki wa majina yao katika daftari la wapiga kura huku baadhi ya makaratasi kuchanywa. https://youtu.be/dO23f6qH184
Ligi Kuu soka Tanzania Bara Inatarajiwa kuendelea leo ambapo Klabu Ya Yanga itamenyana na Toto Africans Ya Mwanza uwanja wa Taifa Dar. https://youtu.be/Qy6kNPakAKo
Kutana na mabalozi wa amani Christina Shusho pamoja na Mrisho Mpoto wakizungumzia swala zima la amani kuelekea uchaguzi mkuu; https://youtu.be/6WJLNbNd3L8
Je uwepo wa viwanja vipya utasaidia kukuza vipaji katika michezo mbalimbali nchini? Fuatilia mjadala hapa;https://youtu.be/Zb9Xt-C6hWc
Leo hii katika mjadala wachambuzi wanaangaliza habari kuu zilizopewa vipaumbele katika taarifa za habari; https://youtu.be/xKyPA5UdOqo
Je ahadi za wagombea zinazotolewa kwenye majukwaa zinatekelezeka? Fahamu zaidi kupitia mjadala wa leo; https://youtu.be/6WYVHA9qnJc
Fahamu chama cha APPT Maendeleo na mikakati ya chama hicho katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika jumapili tareh 25 Octoba, https://youtu.be/Iq7qQpu4x70
No comments:
Post a Comment