Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Asubuhi Hii October 22, 2015.
SIMUtv: Fuatilia mwenendo na uchambuzi wa kampeni za vyama mbalimbali za lala salama baada ya kusalia masaa 48 kuelekea uchaguzi Mkuu mwaka huu
SIMUtv: Katibu wa chama cha madereva TADU, Rashid saleh akizungumzia vitendo vya wamiliki wa vyombo vya usafirishaji kuwaadhibu madereva: https://youtu.be/ne2li6v5HN8
SIMUtv: Tambua namna ambayo Nchi imejiandaa kulinda amani siku ya uchaguzi zikiwa zimesalia takribani masaa 48 kuifikia siku hiyo maalumu: https://youtu.be/dK2fdWR1jS0
SIMUtv: Fuatalia mazungumzo na viongozi wa dini wakihamasisha amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu ikiwa zimesalia siku 2: https://youtu.be/-JyP0slzlIc
SIMUtv: Fuatilia vipaumbele vinavyotiliwa mkazo zaidi na mgombea udiwani kata ya Mwananyamala jijini Dar es salaam kupitia chama cha ACT https://youtu.be/61OyRSbdgEI
SIMUtv: Mamlaka ya Chakula Na Dawa TFDA imezindua mfumo mpya wa utoaji na usajili wa vibali kwa njia ya kieletroniki. https://youtu.be/EKpX7i9iUpg
SIMUtv: Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kesho itatoa maelekezo maalumu juu ya Madai Ya Upinzani kukaa Mita 200 kusubiri matokeo. https://youtu.be/NniBsA0A4uA
SIMUtv: Mgombea Uraisi CCM Bi. Samia Suluhu awaahidi wananchi wenye ulemavu kushirikiana na serikali katika shughuli za kimaendeleo. https://youtu.be/YpieDVjInjo
SIMUtv: Serikali imesema itaimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao kabla, wakati na baada ya uchaguzi utakaofanyika oktoba 25. https://youtu.be/MIxU_FaGfQs
SIMUtv: Mgombea Uraisi CHADEMA Mhe. Edward Lowassa aahidi kurudia upya mchakato uliotumika kubadili matumizi ya Fedha kwa ajili ya kuboresha bandari ya Tanga. https://youtu.be/pN50aOZzqr8
SIMUtv: Mgombea Uraisi CCM Dkt. Magufuli amewaahidi wananchi wa Dar es Salaam kushughulikia mradi mkubwa wa maji na kuondoa kero hiyo. https://youtu.be/-Zb1ocoEOjo
SIMUtv: Siku 3 zimesalia kabla ya uchaguzi mkuu wa wabunge na madiwani kufanyika lakini kasi ya wananchi yaelekezwa katika Wagombea Uraisi pekee https://youtu.be/AGUCEprc9pc
No comments:
Post a Comment