Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog ilimnasua Mtoto huyu akielekea Shuleni huku akiwa amevaa Nywele za bandia yaani Wigi kama aonekanavyo hapo katika Taswira Mtoto alivyo pendeza kama ambavyo ameagizwa na Shule yake kuvaa Hivyoo...
Hapo Toto akikadilia kina cha Mtaro ili avuke kuelekea upande wa Pili huku Wigi lake likiwa kwa Kichwa kama kawaidaa..

Mojaaa......Mbiliii........Taaaatuuuuuuu.
#Kamerayamtaakwamtaablog.
No comments:
Post a Comment