HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 30, 2015

TANZIA


Familia ya Bw. Abbas Elias Machimu wa Vijibweni Dar Es Salaam, wanasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa Mzee Abbas Elias Machimu (Pichani)kilichotokea siku ya Jumatano tarehe 28/10/2015. Maziko yatafanyika Ijumaa tarehe 30/10/2015 huko Kisiwani Vijibweni. Habari kwa ndugu, jamaa na marafiki popote walipo. Bwana alitoa, bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.



 Amina.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad