HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 21, 2015

LOWASSA ALITIKISA JIJI LA TANGA KWA MARA NYINGINE TENA

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wakati akiwasili kwenye viwanja wa Indian Ocean, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 21, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia wananchi wa jiji la Tanga waliofurika katika viwanja wa Indian Ocean, katika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 21, 2015.
Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa jiji la Tanga waliofurika katika viwanja wa Indian Ocean, katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, leo Oktoba 21, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF, Mussa Bakar Mbarouk, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye viwanja vya Indian Ocean, Jijini Tanga, leo Oktoba 21, 2015.

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwanandi kwa wananchi, Wagombea wa nafasi ya Udiwani, Jijini Tanga leo.
















No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad